Kundi la Sema na Tanga wamefanya ziara ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo huku wakifurahishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania m... Read More
News
Na Oscar Assenga, TANGA. DAKTARI Mwandamizi wa Magonjwa ya Kinywa na Meno katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Dkt Onesmo Ezekiel ame... Read More
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu imejipambanua kwenye uwekezaji katika maeneo mbalimbali ya kimkakati ikiwemo katika huduma za afya ambapo kuna m... Read More
Na Mwandishi Wetu, Tanga UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo katika kuboresha huduma leo umekabidhi vitendea kazi Kompyuta Mpakato (Laptop) kwa Wakuu wa Idara na Vitengo ... Read More
MASHABIKI wa timu ya African Sports na Coastal Union leo wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa ajili ya Kitengo cha Damu salama kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo . Ucha... Read More
Mkuu wa Idara ya Maabara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo Sinde Mtobu kulia akimkabidhi jezi ya Coastal Union Mwenyekiti wa Mtetezi wa Mama Samia wilaya ya Tanga ... Read More
Daktari Bingwa wa Macho katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo Dkt Hussein Abbas Tayebji amewataka wananchi wanaotumia njia ya kienyeji kutibu macho ikiwemo kutumia mkojo na maji y... Read More
MTAALAMU kutoka Kampuni ya Nun Get kulia akisisitiza jambo mwishoni mwa wiki wakati akitoa mafunzo kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo ya matumizi ya mfumo wa k... Read More
Na Oscar Assenga,Tanga. HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo imethibitisha kupokea majeruhi wanne kutoka Hospitali ya wilaya ya Muheza ambapo mmoja alipofika akiwa... Read More
Na Oscar Assenga,TANGA Afisa Lishe Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo Mariam Mwakasala amesema tatizo la utapiamlo kwa watoto linaanzia kwa wakina mama wanaposhindwa kuw... Read More