Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

All Clinics

Huduma za kupima uoni, miwani, na magonjwa mengineyo ya macho hupatiwa matibabu.

Mgonjwa wa macho akifanyiwa uchunguzi wa macho

Huduma za matibabu ya Ngozi

A patient being checked for  Acne at the clinic

Akina mama na akina baba wanapata huduma  za uzazi

Huduma za magonjwa ya ndani kama vile ini, mapafu, tumbo nk. hutolewa.


Mgonjwa wa moyo akifanyiwa uchunguzi katika kliniki ya magonjwa ya ndani

Magonjwa ya mifupa kama vile kuvunjika, jipu la mfupa, ulemavu wa maumbile yatokanayo na mifupa na saratani ya mifupa

Surgery ni Thursday

USHAURI NA UPIMAJI WA VIRUSI VYA UKIMWI 

  • Kliniki za wagonjwa wa nje (OPD’S)
  • Wodi zote za hospitali
  • Mahema yaliyoko ndani ya Hospitali
  • uunganishwaji kwenye kliniki ya huduma na tiba  kwa waliogundulika na maambukizi ya vvu

HUDUMA ZINAZOTOL...