Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

Timu ya uendeshaji Hospitali


Wajumbe wa Timu ya Usimamizi naUendeshaji wa Hospitali katika Picha ya Pamoja

Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, inafanya shughuli zake za kutoa huduma kwa wananchi chini ya uangalizi na usimamizi wa Timu ya uongozi ikiongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali Dr. Naima Zakaria. Timu hiyo inaundwa na wawakilishi kutoka kila idara na vitengo mbalimbali.