Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

WATUMISHI WA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO WAPEWA MAFUNZO YA KUPUNGUZA FOLENI KWA WAGONJWA

Posted on: January 29th, 2024

MTAALAMU kutoka Kampuni ya Nun Get kulia akisisitiza jambo mwishoni mwa wiki wakati akitoa mafunzo kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo  ya matumizi ya mfumo wa kupunguza foleni  kwa wagonjwa (Queuing System Management)