Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

UCHANGIAJI WA DAMU

Posted on: February 4th, 2024

Mkuu wa Idara ya Maabara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo  Sinde Mtobu kulia akimkabidhi jezi ya  Coastal Union Mwenyekiti wa Mtetezi wa Mama Samia wilaya ya Tanga Elias Mpay wakati wa zoezi kuchangia damu lililokuwa likiendeshwa wataalamu wa Idara ya Maabara katika Hospitali hiyo na kufanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani Jijini Tanga