Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

MAAFISA UDHIBITI UBORA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MAFUNZONI

Posted on: January 25th, 2024

Maafisa Udhibiti Ubora wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo wakifuatilia mafunzo maalumu ya mfumo wa ukusanyaji na uchakataji wa taarIfa za huduma kwa wateja yaliyowezeshwa na Wizara ya Afya kwa njia ya “Zoom” katika hospitali za Rufaa nchini