Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

Kama nina malalamiko nifanyaje?

Kama una malalamiko yoyote kuhusu Huduma zetu, Tafadhali fika ofisi ya Malalamiko iliyopo Hospitalini au unaweza kutumia njia zifuatazo ili kufikisha malalamiko yako

  • Tumia link ya malalamiko inayopatikana upande wa juu kabisa wa Tovuti yetu 
  • Unaweza tumia mitandao ya Kijamii kufikisha malalamiko yako kwetu
  • Tumia namba za simu zinazoonekana kwenye Tovuti yetu.