Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo umetangaza utaratibu mpya wa namna ya kuwatembelea wagonjwa katika Wodi zote za Hospitali. Utaratibu huo utaanza rasmi Oktoba Mosi 2... Read More
News
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo imeandika historia kwa kufanya kwa mara ya kwanza kipimo cha Bronchoscopy, huduma ya kibingwa inayotumia mashine ya Endoscopy kuchunguza njia ya hew... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo leo Agosti 6,2026 wamepatiwa elimu kuhusu Upungufu wa nguvu za kiume kupitia mada iliyowasilishwa na Daktari Bingwa wa Mfumo wa Mkojo, ... Read More
Picha mbalimbali ambapo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo imekamilisha zoezi la tathmini ya matibabu-Clinical Audit lililoendeshwa na Wizara ya Afya kwa siku mbili na kuhitimishwa le... Read More
KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA TANGA YATEMBELEA WODI BINAFSI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TANGA-BOMBO.
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Mkoa wa Tanga, Agosti 2, 2026, ilifanya ziara katika Wodi Binafsi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo, kujionea maendeleo na ubora wa hudu... Read More
Wakuu wa vitengo wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo Julai 30, 2026, wameanza mafunzo ya siku mbili yanayotolewa na wataalamu kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili-MNH, yakilenga kuim... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo, Dkt. Frank Shega, leo Julai 30, 2026, amewatunuku tuzo na zawadi mbalimbali watumishi waliofanya vizuri katika utekelezaji wa ma... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo, kwa kushirikiana na Rotary Club ya Tanga Mjini, Julai 26, 2026 iliendesha zoezi la uchangiaji damu kwa hiari lililofanyika katika Ukumbi wa Hindu M... Read More
Katika hatua muhimu inayolenga kuimarisha usalama na ubora wa huduma za afya, wataalam wa Maabara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo leo Mei 14,2026 wamekamilisha uwasilishaji ... Read More
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT), kimehitimisha mafunzo ya siku tano ya Maadili ya uongozi,Uzingatiaji wa sheria na uwajibikaji kwa viongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo ya... Read More



